KUULIZA SIO UJINGA.

KUULIZA SIO UJINGA.

Antony Abel

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
264
Reaction score
142
Samahan ndugu wana jf kwa muda mref nimeshindwa kufaham, pia nimeuliza katika jamii inayo nizunguka lakn sijapata jibu kamili.

Naja kwenu wana jamvi mnijuze kuwa nazi ipo katika kundi gani.
Kwa mfano embe ni tunda je nazi ni nini?
 
Ulianza mwaka gani kufikiria swali hili?
 
Back
Top Bottom