Antony Abel
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 264
- 142
Ulianza mwaka gani kufikiria swali hili?Samahan ndugu wana jf kwa muda mref nimeshindwa kufaham, pia nimeuliza katika jamii inayo nizunguka lakn sijapata jibu kamili.
Naja kwenu wana jamvi mnijuze kuwa nazi ipo katika kundi gani.
Kwa mfano embe ni tunda je nazi ni nini?
Sio muda sana ni 2012Ulianza mwaka gani kufikiria swali hili?
Nashukuru kwa kunijuzaKiungo
ASANTE KWA JIBU LAKONazi ni tunda