Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Jamani mamboz!
Nauliza jamani: Hivi mtu na mpenzi wako mko kwenye maji, mfano swimming pool. Je kuna madhara yoyote mkamegana ndani ya maji. Hapa najaribu kuangalia upande wa mwanamke hasahasa na maumbile ya uke wake labda maji yanaweza kujipenyeza........