Anthony Threedeyea JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 471 Reaction score 47 Apr 11, 2014 #1 nimekuwa nasikia neno HISA mara wengine wanasema nimenunua HISA au wakishauri kanunue HISA ningependa mnitoe tongotongo neno HISA lina maanisha nini na umuhimu wake kwa mtu au biashara...je mtu wa aina gani anapaswa kuhusika na HISA?
nimekuwa nasikia neno HISA mara wengine wanasema nimenunua HISA au wakishauri kanunue HISA ningependa mnitoe tongotongo neno HISA lina maanisha nini na umuhimu wake kwa mtu au biashara...je mtu wa aina gani anapaswa kuhusika na HISA?
middo JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 207 Reaction score 56 Apr 11, 2014 #2 cheki kuna uzi unatittle ''soko la hisa'' kuna mdau anaitwa KeyserSoze kafunguka vizur sana, naamin utapata mwanga kama mimi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
cheki kuna uzi unatittle ''soko la hisa'' kuna mdau anaitwa KeyserSoze kafunguka vizur sana, naamin utapata mwanga kama mimi