Kicheche ni kinyama fulani hivi kinachoruka ruka na kukimbia kimbia bila kueleweka.
Kwa hiyo kuna wale wenzetu , wasio muelekeo, msimamo, self worth, macho juu, akili fupi, bora liende etc hususan katika kasia ya mahusiano ya mapenzi, wanaitwa vicheche.
Variation ya wengine huwaita "chicken head" na "hood rats" ingawa kuna tofauti subtle.
Halafu, kama alivyosema Ice T katika "some of these ni**ers is b*tches too", kicheche si lazima awe mtu wa jinsia ya kike, hata mtu wa jinsia ya kiume mwenye tabia hizo ni kicheche tu, kwa sababu essence ya ukicheche ni tabia na wala si jinsia.Ila kwa sababu mfumodume unalinganisha ukicheche wa kuonja hapa na pale na urijali, vicheche wa kiume wanaweza kusifiwa kwa urijali wakati wa kike wakaitwa vicheche in a derogatory way.