Kuuliza...

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Wakuu, nikiwa sijanywa ugimbi nakoja mkojo wa njano ila nkila ugimbi mkojo ni mweupe pee rangi ya maji.
 
Pombe za kienyeji hizo mkuu,hasa msabe,komoni,kiambule(chamoto),ulanzi.
Lazima mkojo uwe mweupe
ila kunywa bia sasa uone shughuli yake mkojo wa Brown kabisa.

Kinachotoka kwenye mkojo ni sumu sasa kama unakojoa mkojo mweupe manake sumu inabaki ndani ? Na mbona wanywaji wa pombe za kienyeji huwa wanazeeka mapema sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23], mkuu when I said ugimbi I meant alcohol in gen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…