Kuuma koo wakati wa kumeza mate.

Kurutamjanja

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
396
Reaction score
374
Nina siku ya nne leo,kila nikimeza mate koonkwa upande wajuu yaani puani napata maumivu makubwa. sasa sijui tatizo ni nini? naombeni msaada wenu ndugu zangu.
 
Uliwahi kuwa subjected kwenye dusty environment,au upepo mwingi,cold,dry air ya a.c au milimani mkoani katika siku za hivi karibuni?au uliwahi kushout kwa nguvu kwa kipindi kirefu au kuimba high pitch katika namna usiyozoea?hizo ni dalili za toncilitis.je,huwa hujisikii koo kukauka na kukereketa usiku?nijibu kwanza ili nijue cha kukushauri.pia swali jingine,wewe ni mfanyaji mazoezi?
 
Yap mm nipo arusha na ni baridi,Shughuli zangu nafanyia kweli mlimani na kuna baridi na vumbi na kweli usiku hali hiyo hunitokea na ni kweli mm ni mfanya mazoezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…