Kuuma kwa maungia ya mifupa /joints

Kuuma kwa maungia ya mifupa /joints

Ron Abel

Member
Joined
Dec 17, 2015
Posts
18
Reaction score
0
Je wajua kuhusu maungia ya mifupa /joints kuuma

Arthritis ni ugonjwa unaotokana na namna yo yote ya hitilafu katika maungio ya mifupa ya binadamu ambao husababisha maumivu na pengine kuvimba katika sehemu moja au zaidi ya maungio hayo. Neno arthritis halilengi ugonjwa mmoja bali jamii ya magonjwa ambayo kwa ujumla yapo zaidi ya 100.

Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu kwenye maungo ya mifupa (joints) ambayo ni endelevu na ambayo hutokea
 
daah umeanza vizuri ila ulivyomalizia sasa........😀
JE WAJUA KUUSU MAUNGIA YA MIFUPA/JOINTS KUUMA
Arthritis ni ugonjwa unaotokana na namna yo yote ya hitilafu katika maungio ya mifupa ya binadamu ambao husababisha maumivu na pengine kuvimba katika sehemu moja au zaidi ya maungio hayo. Neno arthritis halilengi ugonjwa mmoja bali jamii ya magonjwa ambayo kwa ujumla yapo zaidi ya 100. Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu kwenye maungo ya mifupa (joints) ambayo ni endelevu na ambayo hutokea eneo hilo moja.
KWA USHAURI ZAIDI TUWASILIANE KUPITIA 0718512775
 
Mawasiliano ni kwa ajili ya kupata tiba au Maelezo zaidi kuhusu arthritis
 
kwani ukitoa USHAURI WAKO HAPA JUKWAANI KUNA UBAYA GANI?
Hata mm nashangaa kwa nini asitoe ushauri hapa hapa kusaidia wasiojiweza.Hawa wapo kibiashara zaidi.Ukiwapata kwenye mawasiliano yao bei wanayokutajia,ni majanga tupu.
 
Back
Top Bottom