Kuuma nyonga (kiuno)

Kuuma nyonga (kiuno)

James Karbol

New Member
Joined
May 5, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Yeyote anaejua tiba ya kuuma nyonga/kiuno ( maumivu makali ya kiuno) ama amewahi kuugua na kutibiwa ugonjwa huu naomba msaada maana nasumbuliwa kwa takribani miaka miwili. Nimetibiwa kwenye hosipitali kadhaa za mkoni Mby na hospitali za kichina, nimechomwa sindano kiunoni zisizo na idadi lakini maumivi hayakomi.

Basi yeyote anaejua tiba ya maradhi haya naomba msaada.
 
Jaman msaada huku .majirani msaada huku kwa faida ya weng twasubiri
 
Kweli hata mimi nasubiri na mimi nina tatizo hilo pia nimeshachoma sindano na vidonge pia
 
Back
Top Bottom