Yeyote anaejua tiba ya kuuma nyonga/kiuno ( maumivu makali ya kiuno) ama amewahi kuugua na kutibiwa ugonjwa huu naomba msaada maana nasumbuliwa kwa takribani miaka miwili. Nimetibiwa kwenye hosipitali kadhaa za mkoni Mby na hospitali za kichina, nimechomwa sindano kiunoni zisizo na idadi lakini maumivi hayakomi.
Basi yeyote anaejua tiba ya maradhi haya naomba msaada.