Kuumia kwa Erasto Nyoni: Viongozi wa Simba tuliwaonya kupeleka timu A Mapinduzi Cup

Watanzania tutaacha lini kigeu geu? Wasingepeleka tungelalamika wamepeleka tunalalamika.

Kumbuka mchezaji anaweza kupata injury mazoezi kama kwa Kapombe,kwenye mechi kama kwa Nyoni na hata akiwa amelala kwake. Waswahili wanasema ajari haina kinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…