tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
aaah aaah umenifanya nicheke....lol, ni kisa kirefu ntakileta hapa siku moja.Inategemeana ni mtu wanamna gani,kuna majitu hayajui kupendwa wala kupenda sasijui kama yanaumia hayo yani wao ni easy taker na wakati mwingine yanaumiza bila kujua yameumiza.Mkuu uliumizwaje?ulimwagiwa tindikali?
mh kwa hiyo kila anayeumizwa tayari alishaumiza/anaumiza wengine? Nshajivua gamba na nimeshatoka huko, kiukweli naogopa kuumizamwisho wake utaendelea kuumizwa hadi na wewe utakapoacha kuumiza wenzako
mh so wat I can do? Niwaombe msamaha? Hapa hata kuonana ni ishu, vipi ikiwa uliyemuumiza alishatangulia mbele za haki? Hii cycle ngumu sana., maana kutoumiza wengine siyo guarantee ya kutoumiza..lolno ambae hajawah kuumiza akiumizwa anapata njia yakutokea wkt uliemuumizwa unashughulikiwa.kama umeacha kiukwel basi hutaumia ila lazma ukione kwa wale uliowaumiza mana bdo wanaumia nakukumbuka uliyowafanyia
sidhani kama mtu anaweza kutake easy kwa mke/mume wake hata kama ni champion wa kupotezea.Inategemeana ni mtu wanamna gani,kuna majitu hayajui kupendwa wala kupenda sasijui kama yanaumia hayo yani wao ni easy taker na wakati mwingine yanaumiza bila kujua yameumiza.Mkuu uliumizwaje?ulimwagiwa tindikali?