Kuumizwa kubaya sana na mapenzi ya uongo ni noma......

Kuumizwa kubaya sana na mapenzi ya uongo ni noma......

harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
2,887
Reaction score
1,351
i will give the angels back their wings and risk the lost of everthing
just to prove my love is true for u
just to have a sweethat like u
u told me once but i forgot,
so tell me now and tel me the trth
so i can say im here for u,
and if i die before u , i will go to heaven and wait for



Juzi demu wangu mmoja alikuja ghafla toka Mwanz huyu binti nilisha achaa naye toka miezi sita iliyopita akiwa na mimba ya miezi kama
mitatu ambayo ilikua ikionekana kabisa ila akiwa pande za huko nikawa naendelea kugharamiaka baadae akawa akija A town hataki kuonana nami
nilipochunguza nikajua alisha chomoa ndio maana hataki kuja .
sasa hivi majuzi amekuja A towna ghafla kanipigia cm na kudai alikuja siku tatu zilizopita cha kufurahisha nikamwita akaniambia anamuogesha mtoto ili aje naye nimuone nikamuambia asije anye kwani kuna baridi nitaenda mwenyewe kumuona .
Baada ya kuonana naye alinikuta nakata maji kama mamba sehemu moja ambapo wale wamiliki wanamjua fika kwamba ni demu wangu wa kitambo sasa nikamkaribisha baada tya kupata kinywaji nikataka niende naye gheto kwangu kwa ajili ya kupasha kiporo hicho,ila akaonesha kusita huwa kiprinsipo silazimishi mambo zaidi ya suala la fedha .
Hapo akasema ana shida na fweza kwa hiyo nikajua tu ni zile sanaa amezianza upya kabisa ....nikamwambia aende hapo alipofikia ambapo aliniambia ni kwa mama yake mdogo mwanzo hajawahi kunitambulisha mtu huyu na wala simjui .
kufika pale akajifanya anamchukua mtoto kutoka kwa mtu aliyemuachia kwa kushangaa akaja na mtoto wa miezi kuanzia mitano na nusu hivi mapaka sita na kitu mimi na yule jamaa yangu tukabaki tumeshikwa na butwaa kwamba mtoto yule alimpata wapi wakati tunashang'aa yule jamaa yangu akasema mbona mtoto hafanani na hata mmoja kati yenu mtoto ameketishwa kitandani hajui kinachoendelea hata kidogo.
Wakati tunashanga mara akaja mama mmoja akamchukua yule mtoto yule mama anafanana na yule mtoto na hata matiti yake yanaonekana kwamba ananyonyesha .
Nilichofanya ni kuinuka kuelekea mlangoni na kuvaa viatu vyangu yule binti akaanza kusema sasa umekuja kunichora au ?Mimi sikuongea chochote temna zaidi ya kumwambia jamaa yangu tuondoke ila nkawa nataka kumpa kipondo yule binti kwani alikua ananifanya mimi ni mjinga kiasi fulani sasa sijui nimfanyeje naomba maushauri yenu.............
NAWASILISHA
 
We learn through mistakes. Hata mara moja katika maisha usikubali mabaya ya nyuma yakaharibu future yako. Wewe songa mbele tu achana nae.
 
kweli nimeamini mjomba ni mama..
huyu anatenda huyu anatendwa..
 
ndeti usishangae hata shangazi ni baba
mwendo full kuchakachua wangu no love siku hizi
 
Hahahahaha! Aaaaah! Jamani, Kha! Oa usichezee tu, na wao wanacheza game vile vile. Kali kweli.
 
Kwa vile mungu kakuonyesha ukweli endelea na maisha yako tu,huyo dada naye keshajua sio wote wanadanganyika kwa maigizo na siku hiyo mungu aliamua kumuumbua tu.
 
Ni sawa kabisa ulistahili hicho Mpwa, maana hata thread umeanza kwa kusema "mmojawapo wa mademu wako" sasa kumbe una rundo why bothering na huyu? enzi hizi ndio unajisifia mademu na kukata maji? are you serious Mpwa?
 
Mwosha huoshwa kama wewe unao wengi unategemea na wao wakutegemee ww mmoja? Lazima na wao wawe na vidumu pembeni
 
Mwosha huoshwa kama wewe unao wengi unategemea na wao wakutegemee ww mmoja? Lazima na wao wawe na vidumu pembeni

sio hivyo kaka kumbuka hapa tunaongelea ishu serious kidogo tayari huyu binti alikua na mimba huwezi kumchukulia kama mabint wengine ninaokutana nao na kwa mimi hili sio suala kubwa kihivyo kwani nimeshazoea tu hawa watu jinsi walivyo hainiumizi kichwa kiivyo yaani nilikua nasema tu kwamba ukimuonea huruma mtu ukarudisha roho ya kibinadamu kumbe unaweza kufanywa mjinga kumbe sio hivyo .
 
Ni sawa kabisa ulistahili hicho Mpwa, maana hata thread umeanza kwa kusema "mmojawapo wa mademu wako" sasa kumbe una rundo why bothering na huyu? enzi hizi ndio unajisifia mademu na kukata maji? are you serious Mpwa?

huyu ni kwa kuwa alikua na mimba hilo tu nafikiri hata kama wewe una mke unamrespect tofauti na unaokutana nao barabarani...
 
achana naye,na husiwasiliane kabisa nae...potezea mazima,muongo huyo
 
arifu nikuambie kitu temana naye uyo tena asikuletee uzibo
 
Back
Top Bottom