Kuumizwa kwenye MAPENZI

kigol

Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
16
Reaction score
2
Hivi kati ya Wanaume na Wanawake nani wanaongoza kwa kuumizwa kwenye mapenzi ,kupigwa chini (Heart broken) ?
 
Wote tu wanaumiza, lakini...usikubali kuumia mara mbili, kuumia ni mara moja inakuwa shule yako. Unatumia akili sasa kupambana na huu msimiati wa mapenzi, ukiona mahali kuna kuumia unakaa pembeni fasta, ukiona unapenda halafu hapaendiki unamuomba Mungu akusaidie, kuepuka mtego wa kuumia na kudhalilika.

Sawa eeh...ila ni wote tu wanaumia kila mtu kwa jinsi yake, as wote wana mioyo ya nyama.
 
asiyekua na moyo ndio haumii.
swali:mwanamke ana moyo au hana.
:mwanaume ana moyo au hana.
 
ninachotaka kujua ni nani wenyewe macho juu, hawaridhiki nakusababisha maumivu kwa wengine zaidi?
 
Wanawake.


Usiombwe umkatae mwanamke anaye kupenda, lazima utatafutiwa kesi.
 
Kuumizwa kimapenzi ni njia mojawapo ya kukomaa katika game, kuumizwa kunakupa mwanga wa mapungufu na thamani yake. Kama kakuumiza bila sababu inakusaidia kukupa thamani yako na penzi lako kiasi kwamba hata akitokea mwingine ukamtunuku akakuenzi utamuheshimu na kumthamini daima. Ila kama hujawahi kuumizwa we bado ni mwanafunzi.

Samahani kunena hayo but kwangu imenisaidia sana ................na usiombe mkakutana wawili ambao mlishajeruhiwa mkaumizwa kimapenzi mkajitambua! Pepo mtaifaidi hapa hapa duniani
 
haaaaaaaaaaaaaaaaaa........................................wanaume ni zaidi coz madou wanapenda wenye mawe au toz ndiyo maana wana lukaluka apana pale
 
Wote wote, sema wanaume hawalalamiki ka watoto wa kike
 
piga----------------------------------------------------
 
Naniii....nani tena?
Mwana.......aaah,wote sawa bana.
 
wote tunaumizwa, sema aliyewahi kuumizwa, ni likely kuwa careful
 


Hii nimeipenda!!
 
asiyekua na moyo ndio haumii.
swali:mwanamke ana moyo au hana.
:mwanaume ana moyo au hana.

C'mangala, mimi ninao Moyo na siumii. Tangu lini SODA YA KOPO ikamuumiza mtu? Mimi mpenzi wangu PESA sidhani kama ipo siku zitauumiza moyo wangu.
 

chukua like yangu mkuu.
 

I agree with you mkuu!
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…