Kuumwa kichwa baada ya kuhisi harufu kali ya perfume

Kuumwa kichwa baada ya kuhisi harufu kali ya perfume

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
573
Reaction score
140
Habari za jioni JF Doctor,

Mimi ni tatizo moja, nikihisi harufu kali ya perfume huwa naumwa kichwa. Je ni kawaida au nitakuwa nina tatizo la allergy??

Asanteni.
 
ni allergy hio kuna uzi mzizikavu aliandika kuhusu allergy jaribu kuutafuta uusome!
 
Aise tuko wengi ila perfume zinazonisumbua ni zile fake tu. Yaani nitapiga chafya, kichwa kuuma ile mbaya. Lakini ukileta mild perfume original mwake kabisa, hakuna cha chafya wala kichwa kuuma. Hizo za She nazo kuna ambazo wakijipaka maofisini wanatupa tabu sana.
 
Kumbe allergy eeh? Sasa nitaiepuka vipi wakati katika jamii inayutuzunguka watumiaji wa perfume wanaongezeka?
 
Back
Top Bottom