Aise tuko wengi ila perfume zinazonisumbua ni zile fake tu. Yaani nitapiga chafya, kichwa kuuma ile mbaya. Lakini ukileta mild perfume original mwake kabisa, hakuna cha chafya wala kichwa kuuma. Hizo za She nazo kuna ambazo wakijipaka maofisini wanatupa tabu sana.