Kuumwa kichwa siku nzima ni dalil ya ugonjwa gani?

Kuumwa kichwa siku nzima ni dalil ya ugonjwa gani?

Olmost

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
337
Reaction score
441
Habari za asubuhi wapendwa,

Jana nimeamka vzuri nkaenda kazini, nilivyorudi nikapata msosi wa mchana alafu nikaenda sehemu kusafisha nyumba kuna mtu anataka kuhamia, so kule nilikutana na vumbi kali sana na nikategemea baada ya hapo ni mafua kwa sana lakini nilianza kuumwa na kichwa upande wa kulia kidogokidogo kikiongezeka kadri muda unavyozidi kwenda, na usiku wa kuamkia leo sijalala maana kichwa kinauma sana na mpaka sasa asubuhi bado kinauma, kwa dalili hizi inaweza kuwa ni ugonjwa gani jamani?
 
Aaaaah kama vile tupo mapacha yani na mm hivyo hivyo niliend town ila palikuwa na vumbi sana wakat narud nipo kwa daladal kichwa kikaanza upande wa kulia nikanywa maji aah wap nikajua nikilala kitapona usiku kinauma hivy hiby na sahiv kimeamia upande wa kushoto nashindwa kuelewa
 
habar za asbh wapendw, jana nmeamka vzuri nkaenda kazin, nlivyorud nkapata msos wa mchan alaf nkaend sehem kusafsha nyumb kuna mtu anatak kuhamia, so kule nlikutan na vumbi kali sana na nkategemea baada ya hapo ni mafua kwa sana lkn nlianza kuumwa na kchwa upande wa kulia kdogokdogo kkiongezek kadri muda unavyozd kwend, na ucku wa kuamkia leo cjalal coz kichwa kinauma sana na mpk ss asbh bado kinauma, kwa dalil hiz inaweza kuwa n ugonjwa gan jaman?

Naweza kusema ni bora kupima. Kichwa sio ugonjwa ila husababishwa na tatizo filani ndani ya mwili. Pia wenda wewe ni mvivu wa kunywa maji. Kunywa maji ya kutosha kila siku inavyo takiwa lita mbili kwa siku utaona mabadiriko. Ila ni vyema ukapime.
 
Ndugu zangu poleni sana kwa kuumwa na kichwa, nawashauri tu mjaribu kwenda kwenye vituo vya afya vinavyoaminika kwa ajili ya kufanya check up, nadhani hii itawasaidia sana.
 
Jamani namimi naombeni mnisaidie kupitia hapa...mimi kichwa huniuma karibu kila siku na ni mda mrefu sasa yapata miaka kadhaa hadi nimekizoea sasa...zamani nilikuwa naumwa kichwa kwa mda kama wa wiki moja mfululizo baada ya hapo DAMU ZINATOKA PUANI (Nose bleeding) then kinatulia kama siku kadhaa kinaanza tena kuuma na iyo ndo ikawa tabia. Lakini kwasasa DAMU zimeacha kutoka nna kama miezi 6 hivi LAKINI KICHWA NDO BADO KINAUMA almost KILA SIKU....je tatizo linaweza kuwa ni nini?
 
Back
Top Bottom