habar za asbh wapendw, jana nmeamka vzuri nkaenda kazin, nlivyorud nkapata msos wa mchan alaf nkaend sehem kusafsha nyumb kuna mtu anatak kuhamia, so kule nlikutan na vumbi kali sana na nkategemea baada ya hapo ni mafua kwa sana lkn nlianza kuumwa na kchwa upande wa kulia kdogokdogo kkiongezek kadri muda unavyozd kwend, na ucku wa kuamkia leo cjalal coz kichwa kinauma sana na mpk ss asbh bado kinauma, kwa dalil hiz inaweza kuwa n ugonjwa gan jaman?