Kuumwa kichwa

mzee wa ujiji

Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
78
Reaction score
30
Nimepima malaria mara nyingi kwenye hospital naambiwa sina malaria lakini kichwa kinauma sana,ndugu zangu naomba ushaur wenu
 
Kapime na macho pia, huenda ukawa na tatizo la macho
 
si kila kichwa kikiuma ni malaria sometimes ukosefu tu wa maji! unakuumiza kichwa! ongea na doctor mzuri atakayekushauri si lazima apime malaria!
 
Nenda pcmc clinic karibu na muhimbili utapimwa vipimo vya vep na baep vipimo vya kisasa kuangalia maumivu ya kichwa.
 
Jitahidi kunywa maji mengi kwa siku ka lita Tatu huondoa hyo hali.
 
heee!! mfafanulie bwana asije akafika huko, na kukiomba kipimo hicho, akatoka mbio!!hiyo ELISA TEST
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…