Kuumwa mgongo kwa mjamzito- dawa yake ni ipi?

Kuumwa mgongo kwa mjamzito- dawa yake ni ipi?

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
618
Reaction score
280
Nawauliza wataalamu wa masuala ya ujauzito, mwanamke mjamzito wamimba ya kwanza yenye mwezi mmoja anapoumwa na mgongo anapaswa kutumia dawa gani?

wasalaam
 
Nawauliza wataalamu wa masuala ya ujauzito, mwanamke mjamzito wamimba ya kwanza yenye mwezi mmoja anapoumwa na mgongo anapaswa kutumia dawa gani?

wasalaam

Upate massage tu dada hamna zaidi na pia punguza kukaa sana kwenye viti ambapo hupati flexibility ya kuegemea vizuri
 
Kuhusu kuumwa mgongo siyo kwa mjamzito pekee bali hata kwa wengine wapo wanaosumbuliwa kwa maumivu ya mgongo. Hapa unaweza kuniandikia kwenye email ishealthy@hotmail.com ili niweze kukupa ushauri wa kiafya zaidi
 
Back
Top Bottom