MAKOLE JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 618 Reaction score 280 Aug 14, 2012 #1 Nawauliza wataalamu wa masuala ya ujauzito, mwanamke mjamzito wamimba ya kwanza yenye mwezi mmoja anapoumwa na mgongo anapaswa kutumia dawa gani? wasalaam
Nawauliza wataalamu wa masuala ya ujauzito, mwanamke mjamzito wamimba ya kwanza yenye mwezi mmoja anapoumwa na mgongo anapaswa kutumia dawa gani? wasalaam
J jumalesso Member Joined Jul 5, 2008 Posts 83 Reaction score 8 Aug 15, 2012 #2 MAKOLE said: Nawauliza wataalamu wa masuala ya ujauzito, mwanamke mjamzito wamimba ya kwanza yenye mwezi mmoja anapoumwa na mgongo anapaswa kutumia dawa gani? wasalaam Click to expand... Upate massage tu dada hamna zaidi na pia punguza kukaa sana kwenye viti ambapo hupati flexibility ya kuegemea vizuri
MAKOLE said: Nawauliza wataalamu wa masuala ya ujauzito, mwanamke mjamzito wamimba ya kwanza yenye mwezi mmoja anapoumwa na mgongo anapaswa kutumia dawa gani? wasalaam Click to expand... Upate massage tu dada hamna zaidi na pia punguza kukaa sana kwenye viti ambapo hupati flexibility ya kuegemea vizuri
Caroline Danzi JF-Expert Member Joined Dec 19, 2008 Posts 3,713 Reaction score 1,265 Aug 15, 2012 #3 Shika kwenye mgongo wako, kemea hilo pepo likuache! basi
health JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 325 Reaction score 39 Aug 26, 2012 #4 Kuhusu kuumwa mgongo siyo kwa mjamzito pekee bali hata kwa wengine wapo wanaosumbuliwa kwa maumivu ya mgongo. Hapa unaweza kuniandikia kwenye email ishealthy@hotmail.com ili niweze kukupa ushauri wa kiafya zaidi
Kuhusu kuumwa mgongo siyo kwa mjamzito pekee bali hata kwa wengine wapo wanaosumbuliwa kwa maumivu ya mgongo. Hapa unaweza kuniandikia kwenye email ishealthy@hotmail.com ili niweze kukupa ushauri wa kiafya zaidi