Kuumwa miguu

Kuumwa miguu

JamboJema

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
1,143
Reaction score
209
Kwa muda sasa nimekuwa nasumbuliwa na miguu kuniuma, sehemu za katikati ya unyayo. Huuma kama vile kuna kitu chenye ncha kali kinanichoma. Napata shida hasa niamkapo asubuhi au nikiwa nimekaa kwa muda mrefu, nikiamka kutembea hujisikia maumivu sana.

Baada ya kulazimisha kutembea kwa muda huwa mzima tena. Naomba wajuzi mnipe msaada!
 
Back
Top Bottom