peter willson
Member
- Dec 4, 2015
- 19
- 3
Fanya mazoezi kulingana na lishe yako
Jamani mada nyingine kama hatuziwezi ni bora tukawaachia madokta waje, sio kila uzi tunatakiwa kujibu au kuchangia.acha mazoezi yatakuua
Habari.
Mimi huwa nafanya jogging ambapo huwa natumia saa moja
au mawili. Huwa ninaumwa na kichwa baada ya mazoezi (siyo mara tu nimalizapo), nikiwa nimepumzika.
Tatizo ni nini, na je itaniletea madhara gani?
Naomba kuuliza.