kuumwa viungio vya mwilizima. mikono yote miwili na goti la miguu

jonas255

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
225
Reaction score
110
Ndugu zangu wana jamii foum mimi ni kijana wa miaka 27.... Juzi nimeamka asubuhi nikapatwa na mauivu kono wa kulia baadae ukaamia mkono wa kushoto na ukashka hadi kwenye viganja.... Nimeamka jana mkuu wa kulia umevimba sana na mgongo unauma maeneo ya chini...

Hili tatizo ni mara ya kwanza kunitokea je kuna mtu anaejua ni ugonjwa gani yaani siwezi hata kuamka kitandani
 
Pole, inaweza kuwa ni ugonjwa unaitwa busela, ugonjwa huu unasababixhwa kwa kunywa maziwa ambayo hayajachemxhwa kwa muda kidogo, no vizuri ukatembelea vituo vya afya ukapata uxhauri na vipimo kwa ujumlaa, science nilifel,
 
Mkuu nenda kwanza hospitali, ukirudi utakuja kusoma majibu ya waliojibu hapa
 
Pole kwa hayomaradhi yako ukihitaji Dawa mimi ninayo ukiwezakunitafuta bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…