Kuunda Mkoa wa Chato ni kupoteza historia ya Wahaya, Mkoa wa Chato hauna maslahi kwa urithi wa utamaduni wa Mtanzania

kuunda mkoa wa chato ni muhimu sana ili kupunguza makali ya uhaya/ukabila.watz tunapaswa kuwa kitu kimoja na siyo kuwa na uhaya/unyamahanga.
Kuundwa mkoa wa chato hakuna negative effect yoyote kwa uhaya, tena ndo utapromote maana mkoa utabaki pure Wahaya
 
Mwendakuzimu alikua fala tu
 
Wakati wa mkoloni tulikuwa na majimbo machache na maendeleo yalikuwepo. Magari ya serikali Land Rover kama lile la the gods must be crazy lakini wakuu walizunguka kila kona ya province na Kila district. Hivi Sasa kila wilaya in VX V8 lakini zinaishia mijini tu.
 
Wanaopinga hawajatoa hasara za kuunda mkoa wa Chato zaidi ya mihemko na chuki kwa Magufuli.
 
kwahiyo wakati wa mzungu tulikuwa na maendeleo kuliko sasa? au mbona sikuelewi.
 
Wewe ni mpumbavu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mikoa haiundwi kuhifadhi mipaka ya kikabila bali kusogeza huduma kwa watu. Kupasuliwa Kagera kwenda mkoa mwingine hakumfanyi Muhaya kuwa Mbondei..atabaki na uhaya wake.
akili za yule askofu muuza utu wake (Bagonza) anasema kuwa kwasababu yeye ni mhaya, kagera ikimegwa itakuwa imemega wahaya wenzake. sifuri kabisa.
 
Usiombe boss wako awe. Mhaya.
Mambo mengine msikie kwa jirani.

Hata mimi ukinipa nafasi ya kuji- distance na Hawa jamaa nafanya mara moja.

Hawa jamaa kwa unuaji ndo walio tuletea vita ya Iddi Amini eti wanapinga ujamaa. Nyerere hana hamu nao.
 
Wengi tu. Kwanza usijitoe ufahamu hiyo Kyamuyorwa na Karagwe tayari kwa sasa wasukuma wameishaingia, miaka ishirini ijayo Karagwe itakuwa usukumani tu.
Hizo ni dialect za wahaya tu na bado ni wachache populationwise

Umewahi kukutana na Wasubi au wahangaza wangapi Dar?
 
Wewe nawe sijui unaeleza vitu gani hapa. Lindi robo tatu ni pori tu na watu wachache ukaigawe ili iweje ? Hiyo Tabora eneo kubwa ni mapori tu na idadi ndogo ya watu. Labda Morogoro ndio ina vigezo vya kuigawa.
 
Kuhamia dodoma, kujenga ikulu mpya, kujenga Chato airport, kuanzisha mkoa mpya wa Chato ni matumizi mabaya Sana ya Kodi zetu havina tija kiuchumi labda tu kama matatizo yetu yangekuwa yamekwisha
Matatizo hayaishi mpaka tunaondoka duniani
 
Mmmmh hapana Wahaya lugha yao haiingiliana kabisa na wasubu au waangaza...tena ungeenda nje kidogo yaani Kihaya kinaingiliana sana na Kiganda na Kinyankore (Uganda) kuliko kisubi au kihangaza
Kisubi na kizinza ni kama kihaya tu kihangaza ndio hakifanani na kihaya
 
Bashiru siyo muhaya ?
 
Tabora ilishamegwa mwaka 1974 ikaitoa Mpanda kuunda mkoa wa Rukwa.
Hadi Muleba itamegwa. Chezea malaika mkuu! Na mbaya zaidi jinamizi la huyu mtu lipo nyuma ya mama Samia.

Hatari sana. Mikoa ya kumegwa ni Tabora na Morogoro sio Geita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…