qn of sheba JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 3,230 Reaction score 1,380 May 29, 2014 #21 Kwa N2N kweli imekufa ila river camp haikuwa juu kihivyo zaidi ya single zao ndio ziliwabeba
Mkare_wenu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 1,714 Reaction score 448 May 30, 2014 #22 Rivercamp lilikuwa ni kundi la kufikirika zaidi maana hawajawahi kutoa track ya pamoja kama kundi,but Joh Makini na Bonta walikuwa wanairusha sana kwenye nyimbo zao
Rivercamp lilikuwa ni kundi la kufikirika zaidi maana hawajawahi kutoa track ya pamoja kama kundi,but Joh Makini na Bonta walikuwa wanairusha sana kwenye nyimbo zao