Habarini Wadau
Ninaomba kuelekezwa kama kuna uwezekano wa kutengeneza cheti kimoja cha Mwanafunzi aliyerisit mitihani yake(baadhi) na kupata cheti kingine (cha pili baada ya kile cha mwanzoni chenye matokeo dhaifu) kuna uwezekano huo? Ni wapi wanafanya hivyo?
Ahsanteni