Kuunganishwa Vifurushi

Kuunganishwa Vifurushi

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
10,017
Reaction score
18,537
Naonaga tuuu mitandaoni tunakuunganisha vifurishi mpaka gb 100 kwa mwezi mara miezi ..hivi inaukweli kiasi gani!!?? Maana halinni tete
 
ushaelekea qibla wewe, subiri upigwe kimasihara
 
Ni uongo mkuu utaliwa hela, huo mchezo usifanye hata kidogo, hao ni matapeli
 
Acha ufala, utatapeliwa hutasahau. Matapeli hao Achana nao
Wengine ni wakweli,kuna mmoja humu alikwa ananiunganishia voda GB kibao nafanyia kazi mpaka nachoka.Baadaye yeye mwenyewe akanambia imefika mwisho.Hakunitaoeli hata mia na akiniunganishia kwa mwaka mzima.
 
Asilimia 99.9% ya biashara hizo ni utapeli. Kuwa makini mzee
 
😀😀😀

Alafu watu hawaoni pesa ikiwa kuna watu kama wewe

Kweli ukifa masikini Tanzania wewe ni fala
 
Back
Top Bottom