Osmokalu
Senior Member
- Nov 13, 2015
- 186
- 148
Salaam kwa wote wana jamvi.Naombe niende kwenye maada.Naomba msaada mwanangu ameungua na chai,nini dawa nzuri ya kienyeji na kisasa,nimepeleka hosptali amesha pewa huduma ya kwanza.Msada wenu ni dawa gani inayoweza kumfanya apone kwa haraka.Shukurani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app