Kuungua na making ya moto

Osmokalu

Senior Member
Joined
Nov 13, 2015
Posts
186
Reaction score
148
Salaam kwa wote wana jamvi.Naombe niende kwenye maada.Naomba msaada mwanangu ameungua na chai,nini dawa nzuri ya kienyeji na kisasa,nimepeleka hosptali amesha pewa huduma ya kwanza.Msada wenu ni dawa gani inayoweza kumfanya apone kwa haraka.Shukurani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamenipa dawa ya kupaka aina ya Burnox, amoxicillin na panado,kwa hiyo Kama kuna dawa nyingine zaidi zenye ubora nisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
First thing trust daktari aliyempa huduma mtoto. Kwani hizo zimeshafail?
Hawa wazazi wa siku hizi wakoje? Yaani unaona mwanao kama hatopona? Ni huruma sana au mapenzi kupitiliza au ni ulimbukeni wa kuzaa watoto.

Mimi mgonjwa akija kwangu lazima nihoji kama kuna dawa ametumia zimegoma
Kwa sababu alyempa dawa naye ni dakatari na alitumia opinions zake za kitabibu. Naheshimu kazi yake hata kama haikufanikiwa.


Trust me. I am a doctor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mama/ baba hospitali umeenda umepewa dawa unataka tena dawa zingine si utamchosha anko wetu kwa kumpa dawa nyingi kuliko umri?

Kwani unahisi kalogwa?
 
Tatizo ma doctor wa google ni wengi siku hizi,mitaani huko kila mtu ni daktari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…