SoC02 Kuupenda URAIS na kuutaka URAIS

SoC02 Kuupenda URAIS na kuutaka URAIS

Stories of Change - 2022 Competition

Tanzania wani

Member
Joined
Jul 26, 2022
Posts
6
Reaction score
4
Kuupenda Urais ni tofauti na kuutaka Urais
Kuupenda Urais ni hali ya kiongozi kutaka kuheshimiwa,kuwa kwenye misafara, kusifiwa,ving'ora,umaarufu, na mambo kama hayo

Kuutaka urais ni hali ya kiongozi kutaka kusukuma jambo au mambo furani katika nchi ili malengo yatimie yaani ni mfanikishani wa mambo yanasiyowezekana yawezekane na yanayowezekana yawezekane pia mara nyingi huyu huwa na wito ndani yake na hashindwi kuonesha njia!!

Mfano: Kila mwanaume ahitaji mke! Kwenye kuhitaji hakuna shida ila huyo mwanamke anapaswa kuwa na sifa
Kuna sifa zinazoonekana kwa macho kama macho regevu,umbo nane,chuchu saa 6 mrefu, mweupe, anaringa, uso mzuri, sauti nyororo n.k

Mwingine anataka awe na sifa isiyoonekana kwa macho kama,mwenendo wake,tabia,customer care yake,uvumilivu,uaminifu,udadisi,wivu,mchapakazi,mfariji,anajituma,fighter,jasiri,mwenye imani,mwadilifu,mwenye huruma n.k

Unadhani ni mwanaume gani akiachwa atajinyonga!?

Huyo wa pili kawekeza moyoni ila huyo wa kwanza kawekeza akilini tu!!
Vivyo hivyo kiongozi anayeutaka urais huwa na kitu ambacho anaamini kupitia nafasi hiyo atafanya haijarishi baya au zuri muhimu dhana!

Ok marais wengi tuliopata hupenda kuwa marais mwisho wanamaliza kwa kutapatapa maana aliutumia muda wake sio kwenye malengo bali afurahi kuwa naye alishawahi kuwa rais!!hii mbaya sana rais hana knowledge ya kutosha kwa kwenye kila sekta akiamka na hili analala na lile
 
Upvote 0
Back
Top Bottom