Kuuvaa Mkenge kwenye Harusi


Mkuu kuridhika wakati mwingine ni ishu, we mtoto amekuja kuku-hug tite na chuchu saa 6 ulizokua unazitafuta zimekuchoma kifuani, kweli utaridhika tu??
 
hahahahaah kaka jambazi umenichekesha kweli !
lakini sidhani kama ina ukweli wowote labda imetokea kwako

1stlady huwa inatokeaga ila watu wanaugulia maumivu tu, hata humu jf,, ila hawataweza kuwa wazi ka mimi.
 
leo watu mmeamkia upande gani wa kitanda? ngoja na mi nifikirie thread ya kuanzisha lol!
 
Bonge ya point mydear.
 
leo watu mmeamkia upande gani wa kitanda? ngoja na mi nifikirie thread ya kuanzisha lol!

my dear me nadhani hata kuamka bado......kama vile watu bado wamemboji!!!!
 
1stlady huwa inatokeaga ila watu wanaugulia maumivu tu, hata humu jf,, ila hawataweza kuwa wazi ka mimi.

Maji ukiyavulia nguo unapaswa kuyaoga tu hakuna cha passport size umeamua kufanya kwa nn ujilaumu?
 
Maji ukiyavulia nguo unapaswa kuyaoga tu hakuna cha passport size umeamua kufanya kwa nn ujilaumu?

wewe tayari umeshaamka, I can tell that!!!!
 
KakaJambazi;
...kwani watoto wazuri huja siku nya harusi yako tu? nina imani kabla ya hiyo siku nawe ulihudhuria harusi za wengine, na mambo yaleyale ya mgongo mgongo, pua pua, sikio sikio, jicho jicho uliyaona. Si ungefanya uchaguzi huko huko ili siku ya harusi yako ukenue tu meno kwa kufurahia kitu bora ulichopata?
 
Mara nyingi kitu kizuri kikisha kuwa chako, huonekana cha kawaida ingawa bado kinauzuri uleule. Cha msingi ni kuridhika na ulichokipata.
 
hehehe
yeyote ambaye anagundua kuwa alikula mkenge siku ya ndoa huyo hakuwa na wito wa ndoa yenyewe

Kama chakula kikuu ni bada kwa mlenda haizuii kubadili mlo mara moja moja ili kukomaza apetite ati
 
Jee unaoa figure,dimble, sura au miguu??????
 


Mkuu Mundu, Siku ya harusi/sendoff huwa kuna wageni wa kila aina kama ujuavyo, na wengine huwa huwajui kabisa, na pengine ni waupande wa ndugu ya mke/mme wako, ambao walipewa kadi za michango na ndugu/rafiki zako,na wanapaswa kuhudhuria harusi yako.

Wengine wametoka mikoani na hata nje ya nchi, sa mkuu utawezaje kufanya uchunguzi katika hali hiyo.

Kama mdogo/mkubwa wa mtu unayemwoa au kuolewa alikua nje ya nchi na siku ya harusi ndo ilikua siku yako ya kwanza kumwona na ndo ikawa love @ first sight, itakuaje apo??
 
sijui kama inaweza kutokea hiyo, labda kama ndoa ni ya kulazimisha hamjapena kwa dhati. my self kwenye ndoa yangu sikuwa namtizama mtu mara 2 isipokuwa my hb.
 
Kwani unaoa mke au unaoa dimpoz na mguu wa bia? Mke ni zaidi ya mguu wa bia na dimpoz mkuu! 🙂
The Following 2 Users Say Thank You to Masaki For This Useful Post:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…