Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 995
- 1,067
Habari wakuu!
Hali imekuwa mbaya biashara hazifanyiki, nauliza utaratibu wa kuuza EFD mashine ambayo imetumika, utaratibu ukoje? Naamini wapo wajuzi humu