Mtu Poa 2013
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 105
- 65
Habari zenu. Ningependa kuuliza kwa anayejua, hivi wasanii wetu wakubwa kwa underground wanauzaga filamu zao kwa wadosi kwa shilingi ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu. Ningependa kuuliza kwa anayejua, hivi wasanii wetu wakubwa kwa underground wanauzaga filamu zao kwa wadosi kwa shilingi ngapi?
inategemea na ninani wamecheza na ubora wa filam kidogo, kwa masuperstar kama jb au mzee majuto ua wanauza 30M na Kwa underground ni below10M na film iwekali kwa story flow,sound track,na quality kubwa ya picha.

Si kweli kuwa Steps tu ndo wasambazaji, kuna makampuni mengi kama Pilipili enterntaiment ya Wadosi, 5 effect ya Mtitu, Sas O ya Shemson na nyingine, sema Steps ndo kampuni kubwa na inayolipa vizuri so Wasanii wengi wakubwa wanauza kazi zao hapo kwa mikataba walioingia na Steps.