Kuuza filamu kwa wadosi

Mtu Poa 2013

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
105
Reaction score
65
Habari zenu. Ningependa kuuliza kwa anayejua, hivi wasanii wetu wakubwa kwa underground wanauzaga filamu zao kwa wadosi kwa shilingi ngapi?
 
Habari zenu. Ningependa kuuliza kwa anayejua, hivi wasanii wetu wakubwa kwa underground wanauzaga filamu zao kwa wadosi kwa shilingi ngapi?

inategemea na ninani wamecheza na ubora wa filam kidogo, kwa masuperstar kama jb au mzee majuto ua wanauza 30M na Kwa underground ni below10M na film iwekali kwa story flow,sound track,na quality kubwa ya picha.
 
Asante kwa jibu lako
 
Ngoja nikuulize, kuna jamaa mmoja aliniambia kwamba hapa tz kwa sasa kuna msambazaji mmoja tu wa movies ambaye ni ssteps. Ni kweli eti? ina maana movie zote za kibongo zinasambazwa na steps tu?
 
Si kweli kuwa Steps tu ndo wasambazaji, kuna makampuni mengi kama Pilipili enterntaiment ya Wadosi, 5 effect ya Mtitu, Sas O ya Shemson na nyingine, sema Steps ndo kampuni kubwa na inayolipa vizuri so Wasanii wengi wakubwa wanauza kazi zao hapo kwa mikataba walioingia na Steps.
 
Nashukuru kwa jibu lako. Katika mikataba yao, bado mfumo wa kuuza ni ule kwamba msanii unauza haki yako yote na wasambazaji wanasambaza movie yako au ni ule utaratibu wa kugonga kopi na kupewa hela kulingana na kopi ulizogonga?
 
Mtu poa mfumo unauza haki zako zote ukishalipwa wewe hauna chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…