Mziwanda Wa Mziwanda
Member
- Jun 28, 2018
- 8
- 7
Maeneo ya Congo lamboto mzambarauni pale! Niweke meza niuze , sasa niko dilemma sijui niweke genge? Na jee sijui itatosha?? Msaada wenu wakubwaKama ni machungwa,umepanga kuuzia wapi??
Hapana,.tafuta kigenge chako kidogo dogo weka bidhaa za gengeni pamoja na hayo machungwa hapo..ukiuza machungwa pekeake utachelewa kupata faida,.labda ungesema matunda mchanganyiko angalau,.Maeneo ya Congo lamboto mzambarauni pale! Niweke meza niuze , sasa niko dilemma sijui niweke genge? Na jee sijui itatosha?? Msaada wenu wakubwa
Asante sana wazo zuriHapana,.tafuta kigenge chako kidogo dogo weka bidhaa za gengeni pamoja na hayo machungwa hapo..ukiuza machungwa pekeake utachelewa kupata faida,.labda ungesema matunda mchanganyiko angalau,.
Mmh ntaangalia mkuuAnza na mahindi ya kuchoma
Kama ni hapo Mzambarauni, nivyema ukaanza kuuza matunda kama Machungwa, Ndizi, Tikiti, Matango na vitu kama hizo mkuu.
Na nimependa kukusisitiza ufanye mauzo jioni kwasababu hapo ni karibu Sana na sokoni, hivyo ukiamua kuuza mida ya jioni kwako itakua ni advantage kwakua upo kwenye njia panda pale inayo panda na kushuka upande wapili wa lami.
Naomba kuwasilisha,
Mungu akusimamie,
Asante,
Ushimen.[/QUOT
Ntafanyia Kaz as soon as possible
vizuri mkuu , najua bidhaa hizo tatu Kuu muhimu unaweza nitajia?Mimi nina Genge..ila inategemea na Genge..kwa pesa hiyo bado ni ndogo labda Kama tayari ushafanya Garama nyengine za Place ama kibanda..ila kama ndio hela ya kununua Mazagazaga inatosha kuanzia na Bidhaa kama tatu
K
vizuri mkuu , najua bidhaa hizo tatu Kuu muhimu unaweza nitajia?