Kuuza jezi kwa Simba ni kazi kubwa sana tofauti na Yanga

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Ukiwa na kazi yakiuza jezi kwa club namba mbili kubwa zaidi Afrika baada ya al ahly inabidi ujipange sana maana ina washabiki wengi mno tofauti na vi club vidogo vidogo.

Ukiuza jezi kwa vi club vidogo vidogo ni rahisi sana kwani utaleta contena moja umemaliza kila mtu ana jezi ila ukiwa na kazi ya kuuza jezi kwa club yenye mashabiki wengi kuliko zote Africa baada ya Al ahly ni ngumu sana kutegemea kontena moja kitatosha.

Ndo mana hii tenda ya simba ilitakiwa izingatie ukubwa wa club siyo kuangalia watani wamefanya nini
 
Umeleta jezi elfu nne awamu ya kwanza,then unakaa zaidi ya wiki tatu ndio unaleta mzigo mwengine, wewe unzani wagonga kopi wana kusubiria ww n siku hizi Wachina kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…