Kuuza na kununua pesa za kigeni online

liolio

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
40
Reaction score
8
Wadau kwa muda mrefu nimekua nikifikiria watu wanafanyaje ili kuweza kufanikisha uuzaji na ununuzi wa pesa ( forex trad) online na unapataje faida. Tafadhali mwenye dondoo naomba anijuze.
 
Wadau inamana humu ndani hata mtu mmoja hajui kuhusu Forex trading kweli? Tusaidiane jamani
 
we mwenyewe hujui unachoshangaa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…