Kuuza nafsi yako maana yake nini?

Kuuza nafsi yako maana yake nini?

bongo dili

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
12,350
Reaction score
25,180
Msanii anauzaje nafsi yake kwa shetani.
Ni contract agreement yenye 50 kwa 50 benefits kati ya msanii na shetani.
Shetani ndie mungu wa ulimwengu huu kwa wasio na Mungu.

Shetani ndie anaemiliki pesa za ulimwengu huu, Hivyo msanii anafaidika kwa kupata pesa, shetani anafaidika na msanii anapomsaidia kuibomoa jamii kupitia nyimbo na mtindo wa maisha anaoishi msanii.

Pale wasanii wanapoibomoa jamii walengwa wakuu ni watoto na vijana kupitia nyimbo zinazopromote ngono, ushoga, wizi, ulevi, vurugu, bangi, ukahaba, kudanga, pombe jamii inaiga Yale iyaonayo au kusikia na kuyaleta kwenye maisha Yao ya kila siku.

Itaiga mavazi, mitindo ya ngono, ulevi, maneno nk.

Mfano lengo kuu la tamthimlia nyingi ni kuzibomoa ndoa ni wanawake wachache wenye uwezo wa kutofautisha wakionacho na kukipractise kwenye maisha halisi.

Jamii inapolishwa sumu na uchafu kupitia media shetani anafaidika.
Chochote kinachosikiwa au kuonwa kwa kurudia rudia uleta effect kwa muonaji au msikilizaji kuiga.
 
Shetani ukimpa nguvu atakupa nguvu .

Unabidi kujua kitu unachokiongea either kiwe kibaya au kizuri ukikiongea Sana kitakuzwa ndani yako Sana ndo maana sio Ajabu watu ambao huwa wanakesha kumkemea Shetani badala ya kukesha kumuomba MUNGU wale wakeshao kumkemea Shetani ndo Shetani huwasumbua that is way walokokole wanasumbuliwa Sana na Shetani.

The same ukikesha muomba Mungu saanane za usiku watu wamelala Basi tegemea Mungu kuwa upande wako Sana.

Wasanini wanaimba ngono na ushoga ila Kuna huwezakano wao wakawa hawafanyi huo ushoga na kuendekeza Ngono ila mtu atakayeiimba hiyo nyimbo na kuirudia mara kwa mara Kuna huwezakano akaishia kuwa mzinzi na shoga.

So muhimu tuongee habari za Mungu tu masaa yote huku Shetani tukimuacha Kama alivyo
Kuna wasanii wengi wanaimba kusifu ngono na Pombe ila wanaishi cleanest lifestyle mfano wake ni 50 cent. Wapo wengi Sana.
 
Mungu ni Mungu tuu!
 
Ndugu zangu wanadamu leo napenda nitoe elimu kidogo kuhusu suala la kuuza Nafsi au kwa kizungu selling your Soul. Binafsi naamini shetani yupo na pia shetani ni mjanja sana lakini watoto wa Mungu tunajua mbinu zake za kuwapoteza wanadamu.

Waefeso 6: 12 inasema "For we wrestle not against flesh and blood, but against principalities, against powers, against the rulers of the darkness of this world, against spiritual wickedness in high places."

Inaanisha ya Kwamba, "Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho."

Baadhi ya Watu wengi waliotuzunguka, wengine tumeoana nao ni wake zetu, waume zetu au watoto wetu au wazazi wetu pamoja na ndugu zetu na majirani walio tuzunguka hasa marafiki wa karibu tunao waamini ni wasaliti wakubwa sana na ni maadui zetu wa chini chini wanaotuchukia sana.

Shetani yupo na inawezekana umesha wahi kukutana nae umewahi kusalimiana naye yani kwa kifu shetani siyo kiumbe mmoja bali ni Li Roho ambalo halina mwili. Na kazi yake ni kumdhalilisha mwanadamu kufanya vitendo viovu.

Imeshawahi kusikia kuhusu mapepo katika mfumo wa binadamu? Umeshawahi kuchukiwa na mtu au watu waliokuzunguka bila sababu au mda huu wanaongea na wewe alafu kesho wanakununia bila sababu na hujawakosea kitu. Ulisha wahi kusikia mtu anasema fulani namchukia sana lakini ukimuuliza kwanini unamchukia anasema na kukujubu basi tuu yani namchukia simpendi tuu. Hiyo ndiyo jinsi ya kumtambua shetani aishie ndani ya mtu aliye uza Nafsi.

Process ya kuuza nafsi ipo hivi unapewa fomu ya kujaza ambayo fomu hiyo inamaelekezo yote kukuhusu wewe kutoa taarifa zako zote pamoja na dhambi ambayo wewe unapenda kuifanya sana. Kuuza nafsi maana yake ni kuyapa nafasi matamanio ya nafsi yako kufanya vitu kinyume na Mungu.

Mfano kuna dhambi za uchawi, uzinzi,wizi,uvutaji bangi kunywa pombe na sigara au kusengenya, kujichuwa, ushoga,yani juu ya dhambi ni Kwamba unatoa maelezo yaliyo nyooka Kwamba hiyo dhambi unayoipenda ndiyo utakayo uza Nafsi yako.

Mfano kama Wewe ni mwanamke au mwanaume unapenda kufanya ngono au zinaa utauza Nafsi yako huko na kazi yako itakuwa kuwaharibia watu waisha yao kupitia ngono mathalani kuvunja ndoa za watu au kuambukiza magonjwa kwa makusudi nk na wakala huyo aliyeuza nafsi kwa uzinzi huwa na uwezo wa kuwapa watu magonjwa kama ukimwi au magonjwa ya zinaa lakini yeye ana dunda tuu na afya njema.

Mathalani umeuza nafsi kwa sababu ya ushoga au usagaji mafanikio yako yatakuwa huko huko ukiwa unafanya hivyo vitendo utakutana na watu mtaendana na kazi yenu itakuwa kuwaharibia maisha vijana wenzenu.

Mathalani Wewe unapenda pombe na sigara na bangi mafanikio yako yatakuwa kuwafundisha vijana matumizi ya hivyo vitu ili uharibu maisha yao.

Wewe umeuza nafsi yako ili upate nguvu za kichawi kazi yako itakuwa kuwaloga watu ambao hawajakukosea chochote wala hakuna mwanadamu aliye kufanyia ubaya lakini kwakuwa umeuza nafsi inabidi umloge na umuharibie maisha yake asiye na hatia ni roho mbaya ilioje kuishi ndani ya mtu.

The thief comes only to steal and kill and destroy; I have come that they may have life, and have it to the full. Kazi ya shetani ni kuiba nyota au destiny za watu mathalani ukiingia kwenye uzinzi au bangi au pombe zilizo pitiliza utasahau lengo alilokupa Mungu hapa duniani na utasahau kuomba baraka zao kwani Roho yako itakuwa chafu umetekwa na adui.

Tafadhali sana kuwa makini na marafiki wanao kununulia pombe sigara bangi starehe za wanawake au wanaume. Yani jiepushe na wale watu au marafiki ambao hawapungukiwi pesa za kufanyia starehe. Utanishukuru.

Wewe ni kijana usiye jitambua mimi najaribu kumuelimisha japo mtu hata mmoja anijue namanisha nini. Kwani mimi nilisha pitia hayo na nikaharibikiwa kabisa na kupotea kila kitu kwenye maisha yangu.

Dalili ya uchawi ni adictions au urahibu wowote ule iwe bangi pombe sigara ngono kula kupitiliza umbeya usengenyaji na kuzungukwa na watu wengi lakini hakuna hata mmoja mwenye msaada kwako ukiwa na shida.

Shetani yupo na atakupa nguvu za kufanya matendo mabaya sana ya kuharibu maisha ya wengine. Mbaya zaidi ukiuza nafsi unakuwa na alama ya shetani usoni kwako na pia kama wewe ni mtu wa Mungu unajulikana kwa alama kwenye paji lako.

Kwahiyo hawa kundi la shetani wanaona alama ya Mungu inayo kutambulisha muonekano wake ni Nuru wao huichukia Nuru na watajaribu kuizima.

Wakifanikiwa Wewe utaharibikiwa kila kitu kama una mali zitafilisika kama una mke mzuri anakupenda mtaachana. Wakiona hiyo alama ya Mungu basi hapo hapo unakuwa adui watakufatilia wajue wewe ni nani na unakaa wapi. Ili wajaribu kuharibu maisha yako.

Watu waliouza Nafsi hupendana wao kwa wao utawaona kwenye nyimbo wanahamasisha uzinzi,pombe, bangi na ushoga. Kwenye uongozi hawakemei mabaya.
 
Jina “mungu wa dunia hii” limetajwa kwenye Biblia ukisoma 2 Wakorintho 4:4 kumaanisha the devil au Lusifa.

Jina lingine ni “mkuu wa ulimwengu huu” ambalo pia limetajwa kwenye Biblia, kitabu cha Injili ya Yohana sura ya 12:31, 14:30 na 16:11.

na ametajwa kwa herufi ndogo

Maana kuna tofauti ya God (GOD) inayoanza na HERUFI KUBWA ukiwa unamaanisha Mungu (MUNGU) wa kweli Muumbaji, na god (gods) ya miungu wa uongo.

Jina lingine la shetani (lusifa) kabla hajaasi lilikua “nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi” the star of the morning, limetajwa kwenye Isaya 14:12

Isaya 14 : 12 -15, nanukuu;-

12- “Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, “EWE NYOTA YA ALFAJIRI, MWANA WA ASUBUHI!” Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa! (Emphasis added).

13 - Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.

14 - Nitapaa kupita vimo vya mawingu, Nitafanana na yeye Aliye juu.

15 - Lakini utashushwa mpaka kuzimu; Mpaka pande za mwisho za shimo.”
 
50 cent au 20 percent?

Fifty huyu huyu...?? Mzee wa candy shop, litte bit.. PIMP mzee wa kujisifu ana MAGIC STICK..
Yes Soma Kitabu chake kasema yeye anaishi cleanest life style havuti bangi Wala kunywa POMBE Wala sio shabiki wa ngono
 
Yesu mwenyewe alipewa mkataba alikataa. Watu wengi hawajui kuwa mteja wangu ndiye mmiliki wa mali zote duniani🙂. Kitaalamu mikataba hii tunaiita Faustian Bargain.
 
Back
Top Bottom