Kuuza nafsi yako maana yake nini?

bongo dili

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
12,350
Reaction score
25,180
Msanii anauzaje nafsi yake kwa shetani.
Ni contract agreement yenye 50 kwa 50 benefits kati ya msanii na shetani.
Shetani ndie mungu wa ulimwengu huu kwa wasio na Mungu.

Shetani ndie anaemiliki pesa za ulimwengu huu, Hivyo msanii anafaidika kwa kupata pesa, shetani anafaidika na msanii anapomsaidia kuibomoa jamii kupitia nyimbo na mtindo wa maisha anaoishi msanii.

Pale wasanii wanapoibomoa jamii walengwa wakuu ni watoto na vijana kupitia nyimbo zinazopromote ngono, ushoga, wizi, ulevi, vurugu, bangi, ukahaba, kudanga, pombe jamii inaiga Yale iyaonayo au kusikia na kuyaleta kwenye maisha Yao ya kila siku.

Itaiga mavazi, mitindo ya ngono, ulevi, maneno nk.

Mfano lengo kuu la tamthimlia nyingi ni kuzibomoa ndoa ni wanawake wachache wenye uwezo wa kutofautisha wakionacho na kukipractise kwenye maisha halisi.

Jamii inapolishwa sumu na uchafu kupitia media shetani anafaidika.
Chochote kinachosikiwa au kuonwa kwa kurudia rudia uleta effect kwa muonaji au msikilizaji kuiga.
 
Shetani ukimpa nguvu atakupa nguvu .

Unabidi kujua kitu unachokiongea either kiwe kibaya au kizuri ukikiongea Sana kitakuzwa ndani yako Sana ndo maana sio Ajabu watu ambao huwa wanakesha kumkemea Shetani badala ya kukesha kumuomba MUNGU wale wakeshao kumkemea Shetani ndo Shetani huwasumbua that is way walokokole wanasumbuliwa Sana na Shetani.


The same ukikesha muomba Mungu saanane za usiku watu wamelala Basi tegemea Mungu kuwa upande wako Sana.


Wasanini wanaimba ngono na ushoga ila Kuna huwezakano wao wakawa hawafanyi huo ushoga na kuendekeza Ngono ila mtu atakayeiimba hiyo nyimbo na kuirudia mara kwa mara Kuna huwezakano akaishia kuwa mzinzi na shoga.


So muhimu tuongee habari za Mungu tu masaa yote huku Shetani tukimuacha Kama alivyo
Kuna wasanii wengi wanaimba kusifu ngono na Pombe ila wanaishi cleanest lifestyle mfano wake ni 50 cent. Wapo wengi Sana.
 
Mungu ni Mungu tuu!
 
 
Jina “mungu wa dunia hii” limetajwa kwenye Biblia ukisoma 2 Wakorintho 4:4 kumaanisha the devil au Lusifa.

Jina lingine ni “mkuu wa ulimwengu huu” ambalo pia limetajwa kwenye Biblia, kitabu cha Injili ya Yohana sura ya 12:31, 14:30 na 16:11.

na ametajwa kwa herufi ndogo

Maana kuna tofauti ya God (GOD) inayoanza na HERUFI KUBWA ukiwa unamaanisha Mungu (MUNGU) wa kweli Muumbaji, na god (gods) ya miungu wa uongo.

Jina lingine la shetani (lusifa) kabla hajaasi lilikua “nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi” the star of the morning, limetajwa kwenye Isaya 14:12

Isaya 14 : 12 -15, nanukuu;-

12- “Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, “EWE NYOTA YA ALFAJIRI, MWANA WA ASUBUHI!” Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa! (Emphasis added).

13 - Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.

14 - Nitapaa kupita vimo vya mawingu, Nitafanana na yeye Aliye juu.

15 - Lakini utashushwa mpaka kuzimu; Mpaka pande za mwisho za shimo.”
 
50 cent au 20 percent?

Fifty huyu huyu...?? Mzee wa candy shop, litte bit.. PIMP mzee wa kujisifu ana MAGIC STICK..
Yes Soma Kitabu chake kasema yeye anaishi cleanest life style havuti bangi Wala kunywa POMBE Wala sio shabiki wa ngono
 
Yesu mwenyewe alipewa mkataba alikataa. Watu wengi hawajui kuwa mteja wangu ndiye mmiliki wa mali zote duniani🙂. Kitaalamu mikataba hii tunaiita Faustian Bargain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…