KUUZA TSHIRT ZA DOWANS/katiba mpya

KUUZA TSHIRT ZA DOWANS/katiba mpya

utiyansanga

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2010
Posts
213
Reaction score
7
Kuna wazo la biashara linanijia lakini sina mtaji ,ngoja niwauzie wanachama hapa watanipoza kidogo!
Nchi sas hivi inazizima kwa masual ya katiba mpya na malipo ya dowans..ukitengeneza tshirt ukaandika TUNATAKA KATIBA MPYA na au HAKUNA KUWALIPA DOWANS!Utauza wewe!ila usinisahau mtoa wazo.HII ITASAIDIA WATANZANIA KUPATA UJUMBE HUU MUHIMU KWA MAISHA YETU.
nawasilsha
 
tatizo pa kuuzia usikamatwe na usalama wa JK,usalama-Tigo,na visadi camp
 
Back
Top Bottom