mama jason Member Joined Sep 6, 2013 Posts 40 Reaction score 2 Oct 9, 2013 #1 Habari zenu wanajamvi naombeni msaada wenu mnijuze nataka kuaza biashara ya kuuza vocha za jumla je niende wapi na natakiwa niwe na vigezo gani.thanx
Habari zenu wanajamvi naombeni msaada wenu mnijuze nataka kuaza biashara ya kuuza vocha za jumla je niende wapi na natakiwa niwe na vigezo gani.thanx
josefast JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 372 Reaction score 134 Oct 14, 2013 #2 kwa hilo nenda kwenye ofisi husika i.e voda shop watakupa link na wadodose wauzaj wa rejareja wananua kwa bei gan... hata hivyo vocha za jumla znafaida ndogo japokuwa mtaj wake ni mkubwa..
kwa hilo nenda kwenye ofisi husika i.e voda shop watakupa link na wadodose wauzaj wa rejareja wananua kwa bei gan... hata hivyo vocha za jumla znafaida ndogo japokuwa mtaj wake ni mkubwa..