Nikiwa mgeni Dar nilikutana na kijana mmoja barbarani akanionyesha simu aina ya samsung A50. Kumuuliza bei akaniambia ni laki moja. Bei ilikua chini sana nikaamua kununua. Aliniharakisha sana akisema hataki kushikwa na polisi akanifungia simu ndani ya gazeti.
Kufika nyumbani kujaribu kuwasha simu haiwaki. Kumbe nilifungiwa simu bandia imejazwa matope