Kuuzwa Mchezaji,nani mwenye maamuzi ya mwisho??

Kuuzwa Mchezaji,nani mwenye maamuzi ya mwisho??

sir echa

Member
Joined
May 28, 2010
Posts
85
Reaction score
3
Hebu wadau nisaidieni,

Inapofikia suala la kuuzwa kwa mchezaji,ni nani mwenye uamuzi wa mwisho??ni mchezaji binafsi au ni timu inayommiliki?
Na ikitokea utata katika pande mbili inakuaje!!upande wa mchezaji hataki kuuzwa ila uongozi wa timu unataka kumuuza.
 
timu yake ndio waajiri wake - zinaitwa player registration documents. Mchezaji hana jeuri lakini aweza kuringa mshahara upandishwe. Angalia/Google ya Tevez leo
 
Back
Top Bottom