Hebu wadau nisaidieni,
Inapofikia suala la kuuzwa kwa mchezaji,ni nani mwenye uamuzi wa mwisho??ni mchezaji binafsi au ni timu inayommiliki?
Na ikitokea utata katika pande mbili inakuaje!!upande wa mchezaji hataki kuuzwa ila uongozi wa timu unataka kumuuza.