Wakulonga
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 762
- 771
Habari Wanajamvi,
Ndugu zangu naomba kuuliza hivi kuvaa barakoa kwenye ofisi za serikali ni lazima? Maana jana mke wangu alimpeleka mtoto clinic walikataaa kumhudumia mtoto kisa mama mtu hakuvaa barokoa
Sasa hawa watu Hawaendi kinyume na Mh. Rais maana Mh Rais ameshasema kuvaa barakoa isiwe lazima. Au ndio hao wanaomuhujumu Mhe. Rais?