Hujasema bado.Kifupi tu jezi ni kali.. esp ile ya form six kola.
Ila wameiharibu sana kuongeza mo Extra pale kati… wale tunaopendelea plain t shirt pale wametukosa.
Mo extra na simba ilitosha kabisa zile logo kukaa kifuani kushoto na kulia.
Em pata picha mtu mwenye kitambi kilo 80 ule mjezi akivaa ile chata pale tumboni dah.
Nb. Ni team simba.. ila sio simba lia lia
Hahaaa kunywa maji kwanzaHujasema bado.
Kule jeshini hali hii tunaiita double bits, kwenye uhasibu tunaiita double check, kwenye chemistry tuiita double decomposition. Sijui kule Simba na mo mwenyewe hii wanainaiita nini.Kifupi tu jezi ni kali.. esp ile ya form six kola.
Ila wameiharibu sana kuongeza mo Extra pale kati… wale tunaopendelea plain t shirt pale wametukosa.
Mo extra na simba ilitosha kabisa zile logo kukaa kifuani kushoto na kulia.
Em pata picha mtu mwenye kitambi kilo 80 ule mjezi akivaa ile chata pale tumboni dah.
Nb. Ni team simba.. ila sio simba lia lia
Inaitwa kupigwa mkonoKule jeshini hali hii tunaiita double bits, kwenye uhasibu tunaiita double check, kwenye chemistry tuiita double decomposition. Sijui kule Simba na mo mwenyewe hii wanainaiita nini.
Pale alaumiwe MO, Bodi, Sandqland na wataonunua hizo jezi
Sasa hivi ni mo kwenye moyo, mo tumboni na mo matakoni, mo 3 kwenye Jez moja.Kifupi tu jezi ni kali.. esp ile ya form six kola.
Ila wameiharibu sana kuongeza mo Extra pale kati… wale tunaopendelea plain t shirt pale wametukosa.
Mo extra na simba ilitosha kabisa zile logo kukaa kifuani kushoto na kulia.
Em pata picha mtu mwenye kitambi kilo 80 ule mjezi akivaa ile chata pale tumboni dah.
Nb. Ni team simba.. ila sio simba lia lia
Kwahiyo weupe peeeHizo Jezi Akivaa Mwanamke mweupe kias na mwenye mzigo zinamkaa sana.
Ila akivaa huyo fensi ya makuti hazimpendezi.
Bora Peee kuliko tiiiKwahiyo weupe peee
Na weusi tiii
Hawatakiwi kuvaa?