Kuvaa joho ni ishara gani na kurusha kofia kuna ashiria nini?

Kuvaa joho ni ishara gani na kurusha kofia kuna ashiria nini?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Kwako Mwalimu kashasha.

Binafsi nimefika chuo lakini sijawahi kuhudhuria hizi graduation toka msingi mpaka namaliza masomo yangu ya chuo.

Kuna maanishwa kipi hasa au ndiyo modernization?
 
Ni utamaduni wa wayahudi wakati wanapata juzuuu ya kwanza, kwa sababu wayahudi ndio watu wa kitabu walimwengu wotee imebidi kuigaa, ukitakaa kujua maana watafutee othodox jew watakwambia.
 
Kwako Mwalimu kashasha.

Binafsi nimefika chuo lakini sijawahi kuhudhuria hizi graduation toka msingi mpaka namaliza masomo yangu ya chuo.

Kuna maanishwa kipi hasa au ndiyo modernization?
Modernisation ki vipi wakati graduation ni kitu kipo miaka mingi

kama wewe hukupenda kushiriki huo ulikuwa ni uamuzi wako.
 
Back
Top Bottom