Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,340 Reaction score 4,659 Dec 1, 2024 #1 Kwako Mwalimu kashasha. Binafsi nimefika chuo lakini sijawahi kuhudhuria hizi graduation toka msingi mpaka namaliza masomo yangu ya chuo. Kuna maanishwa kipi hasa au ndiyo modernization?
Kwako Mwalimu kashasha. Binafsi nimefika chuo lakini sijawahi kuhudhuria hizi graduation toka msingi mpaka namaliza masomo yangu ya chuo. Kuna maanishwa kipi hasa au ndiyo modernization?
bahati93 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 1,334 Reaction score 2,463 Dec 1, 2024 #2 Ni utamaduni wa wayahudi wakati wanapata juzuuu ya kwanza, kwa sababu wayahudi ndio watu wa kitabu walimwengu wotee imebidi kuigaa, ukitakaa kujua maana watafutee othodox jew watakwambia.
Ni utamaduni wa wayahudi wakati wanapata juzuuu ya kwanza, kwa sababu wayahudi ndio watu wa kitabu walimwengu wotee imebidi kuigaa, ukitakaa kujua maana watafutee othodox jew watakwambia.
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,042 Reaction score 17,320 Dec 1, 2024 #3 Mhafidhina07 said: Kwako Mwalimu kashasha. Binafsi nimefika chuo lakini sijawahi kuhudhuria hizi graduation toka msingi mpaka namaliza masomo yangu ya chuo. Kuna maanishwa kipi hasa au ndiyo modernization? Click to expand... Picha
Mhafidhina07 said: Kwako Mwalimu kashasha. Binafsi nimefika chuo lakini sijawahi kuhudhuria hizi graduation toka msingi mpaka namaliza masomo yangu ya chuo. Kuna maanishwa kipi hasa au ndiyo modernization? Click to expand... Picha
M Mtambachuo JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 1,907 Reaction score 3,560 Dec 1, 2024 #4 Mhafidhina07 said: Kwako Mwalimu kashasha. Binafsi nimefika chuo lakini sijawahi kuhudhuria hizi graduation toka msingi mpaka namaliza masomo yangu ya chuo. Kuna maanishwa kipi hasa au ndiyo modernization? Click to expand... Modernisation ki vipi wakati graduation ni kitu kipo miaka mingi kama wewe hukupenda kushiriki huo ulikuwa ni uamuzi wako.
Mhafidhina07 said: Kwako Mwalimu kashasha. Binafsi nimefika chuo lakini sijawahi kuhudhuria hizi graduation toka msingi mpaka namaliza masomo yangu ya chuo. Kuna maanishwa kipi hasa au ndiyo modernization? Click to expand... Modernisation ki vipi wakati graduation ni kitu kipo miaka mingi kama wewe hukupenda kushiriki huo ulikuwa ni uamuzi wako.