Kuvaa night dress kwa wanandoa/wapenzi...

Mi naona kama sio vizuri kwa wanandoa au wapenzi kulala kitanda kimoja huku mmevaa night dresses. Sijui mi mshamba!!!!!!!! Hebu kwa wenye maoni tofauti watoe ili labda nifikirie upya...

Ushamba wako uko wapi yani hupendelei au? night dress inaweza kuwa na manjonjo kweli kweli!..
Actually ni kati ya vazi ninalolipenda maalum kwa usiku kupumzika..zipo mbalimbali kwa rangi, muundo, display n.k. zinavutia sana!!
 

Hahaa, umenifurahisha sana,,,, ndivyo inavyotakiwa iwe,, maana hawa dada zetu wakiwa hawana nguo some time wana,,,,ti..
 
Hahaa, umenifurahisha sana,,,, ndivyo inavyotakiwa iwe,, maana hawa dada zetu wakiwa hawana nguo some time wana,,,,ti..
Watu wengine mnashangaza!Kama wanatisha mnakua nao wa kazi gani?
 
manguo yanini bro tena usiku yanatia uzito hivyo hivyo kama ulivyozaliwa ili ufaidi usiku vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…